Uzi wa vichwa vikali vya habari miaka 100 ijayo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shirika la anga la nchini Tanzania lasema chombo chake kinatarajia kufika katika sayari ya pluto mnamo siku tatu zijazo ambapo ni jaribio lake la nne bada ya fufanikiwa kupeleka vyombo vyake katika anga la sayari ya jupiter na kingine kutua katika sayari ya mars
 
-Tanzania kuwa mwenyeji wa G5
-Mapya ya ibuka Tishio la ugaidi katika Jengo la umoja wa mataifa jijini Arusha
-TISS Yatangaza Ajira kwa kada mbali mbali
-Tanzania kinara wa Demokrasia duniani
-Mapya usiyoyajua kuhusu Kinu cha nyuklia kilichovuja
-Tanzania has launch a new missile
-Tanzania yatoa msaada kwa serikali ya Urusi na Israel
-Marekani yaipigia magoti Tanzania
Tanzania yaanzisha vikwazo vipya kwa Germany

Katika michezo sasa

-Simba yatwaa Kombe la vilabu la mabara kwa mara ya 4 mfululizo
-Yanga yashindwa kupanda daraja ligi daraja la 3
-Simba yasajili beki kisiki kutoka Barcelona
-Mshambuliaji machachali wa Real Madrid asema simba ndiyo club ya ndoto yake
-Maandalizi ya kombe la dunia yapamba moto katika jiji la Chato
-Stars achukua ubingwa wa Afcon mara ya 5 mfululizo
-Simba mbioni kunasa saini ya mshambuliaji machachali kutoka Man city kwa dau.la Billion 500

Hahahai can't wait kipindi hicho

Halafu katika habari za anga utasikia

-Chombo xha Anga cha Tanzania kwa mara ya kwanza kimefikia sayari caccasina baada ya kutoka Pluto
-Hivi ndivyo chombo cha anga kiitwacho....kilivyotua Kwrnye jua...
Habari wakuu!

Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]

Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo

Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]

2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA

3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI

4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]

5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4

6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO

7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI

8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]

9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=

10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]

Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Billionea wa dunia kutoka Tanzania(ambaye ni mimi hapa) aahidi kuwekeza zaidi katika sekta ya kilimo cha umwagiliaji nchini Israeli na Marekani.
 
Habari wakuu!

Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]

Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo

Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]

2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA

3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI

4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]

5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4

6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO

7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI

8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]

9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=

10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]

Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
Mkuu amka usije ukajikojolea kitandani..maana ndoto nyingine zinatisha
 
Sure mkuu ndo najipanga hapa kuregister kampuni langu ambalo litakuwa na vision kama Ipp ya hayati Dr Mengi
Hahha..nmechekaa sn..bt kweli..wazungu wanasemaa.mtu bilaa ndoto n kama mti usookuaa na miziz..utaangukaa..tu..hvo..pambana man..unaezaa usifikiee lengo hlo.bt ukalisogeleaa
 
Katika jiji la Chato tena!?[emoji848][emoji848][emoji848]
-Tanzania kuwa mwenyeji wa G5
-Mapya ya ibuka Tishio la ugaidi katika Jengo la umoja wa mataifa jijini Arusha
-TISS Yatangaza Ajira kwa kada mbali mbali
-Tanzania kinara wa Demokrasia duniani
-Mapya usiyoyajua kuhusu Kinu cha nyuklia kilichovuja
-Tanzania has launch a new missile
-Tanzania yatoa msaada kwa serikali ya Urusi na Israel
-Marekani yaipigia magoti Tanzania
Tanzania yaanzisha vikwazo vipya kwa Germany

Katika michezo sasa

-Simba yatwaa Kombe la vilabu la mabara kwa mara ya 4 mfululizo
-Yanga yashindwa kupanda daraja ligi daraja la 3
-Simba yasajili beki kisiki kutoka Barcelona
-Mshambuliaji machachali wa Real Madrid asema simba ndiyo club ya ndoto yake
-Maandalizi ya kombe la dunia yapamba moto katika jiji la Chato
-Stars achukua ubingwa wa Afcon mara ya 5 mfululizo
-Simba mbioni kunasa saini ya mshambuliaji machachali kutoka Man city kwa dau.la Billion 500

Hahahai can't wait kipindi hicho

Halafu katika habari za anga utasikia

-Chombo xha Anga cha Tanzania kwa mara ya kwanza kimefikia sayari caccasina baada ya kutoka Pluto
-Hivi ndivyo chombo cha anga kiitwacho....kilivyotua Kwrnye jua...
 
Duh[emoji23][emoji23]
SHIRIKA LA UTANGAZAJI DUNIANI TBC LIMETABAISHA NIA NA DHUMUNI YA KUTANUA WIGO WAKE WA KURUSHA MATANGAZO MPAKA SAYARI YA PLUTO NA IKIBIDI MPAKA NDANI YA MASHIMO MEUSI (BLACK HOLES) NIA NA MADHUMUNI NI KUTEKA WASIKILIZAJI WAPYA (ALIENS)
 
Back
Top Bottom