-Tanzania kuwa mwenyeji wa G5
-Mapya ya ibuka Tishio la ugaidi katika Jengo la umoja wa mataifa jijini Arusha
-TISS Yatangaza Ajira kwa kada mbali mbali
-Tanzania kinara wa Demokrasia duniani
-Mapya usiyoyajua kuhusu Kinu cha nyuklia kilichovuja
-Tanzania has launch a new missile
-Tanzania yatoa msaada kwa serikali ya Urusi na Israel
-Marekani yaipigia magoti Tanzania
Tanzania yaanzisha vikwazo vipya kwa Germany
Katika michezo sasa
-Simba yatwaa Kombe la vilabu la mabara kwa mara ya 4 mfululizo
-Yanga yashindwa kupanda daraja ligi daraja la 3
-Simba yasajili beki kisiki kutoka Barcelona
-Mshambuliaji machachali wa Real Madrid asema simba ndiyo club ya ndoto yake
-Maandalizi ya kombe la dunia yapamba moto katika jiji la Chato
-Stars achukua ubingwa wa Afcon mara ya 5 mfululizo
-Simba mbioni kunasa saini ya mshambuliaji machachali kutoka Man city kwa dau.la Billion 500
Hahahai can't wait kipindi hicho
Halafu katika habari za anga utasikia
-Chombo xha Anga cha Tanzania kwa mara ya kwanza kimefikia sayari caccasina baada ya kutoka Pluto
-Hivi ndivyo chombo cha anga kiitwacho....kilivyotua Kwrnye jua...
Habari wakuu!
Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo
Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]
2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA
3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI
4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]
5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4
6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO
7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI
8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]
9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=
10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]
Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]