ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
hapa umenena,napenda sana hichi chakula,Katika vyakula vyote binadamu anavokula, huwa atapenda kimojawapo mimi chakula cha ndizi ndio chaguo langu! View attachment 1869922View attachment 1869924View attachment 1869925
View attachment 1870401
Ukienda moshi December hakikisha unaipata huwezi kukosa kule ndo kwenyeweDah naomba hiyo mbegu
Sijaelewa[emoji3166]Mbn fb tena
Hakuna kwenda Moshi december,kuna Corona[emoji16][emoji16][emoji16]Ukienda moshi December hakikisha unaipata huwezi kukosa kule ndo kwenyewe
Tulishapiga marufuku mambo ya kupost sembe![emoji846][emoji846][emoji846]