Uzi wa vyakula tu

Zamani sana kuna unga fulani nlikua nanunua supermarket huku zenji. Upo spiced tayari. Yaani huo ulikuwa bomba sana. Wanakuwa very crispy.

Ila sasa siuoni tena hata madukani. Naishia kutumia bread crumbs ya kawaida tu hata siwapatii sana.
Kama hutojali nielekeze namna unavyo waandaa hasa kwenye coating
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…