Uzi wa vyakula tu

Wabongo wengi tunajua kupamba meza ya msosi lakini shida IPO kwenye muda wa kula hicho kilicho pambwa mezani.
Utakuta mtu kaweka chakula ,matunda na maji yakunywa na ana vila vyote kwa wakati Mmoja.Tenganisha muda wa dakika wa 20 - 30 kwenye ulaji kati ya tunda, mlo na maji yakunywa
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nilitaka kumuambia hili ndugu yangu Saint Anne , matunda ambayo angalau unaweza kula wakati wa kula ni parachichi na ndizi mbivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…