Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Aiseee[emoji23]
Chenyewe cha mtu mmoja nishawahi agiza cha 15 elfu, na Simara amesema wamepandisha sijui bei zikoje kwa sasa.Asee yani unaagiza chakula cha mtu mmoja tu kije kwa nauli ya 8000 sasa chenyewe ni bei gani?
Kitu naweza kula siku zote za maisha yangu.Wasukuma wenzangu na wanyawez wanaelewa utam hii msusa wa karanga kwa mbaaalii nyanya chungu ungar unauwekea unga wa muhogo ni full kula kujigalagaza View attachment 1989521
Hahaha how dare you!Pale unapoamua kuunganisha breakfast na lunch pamojaView attachment 1989623
Ukoroooofiiiii huo! tunaomba recipe hasa uliyotumia kwenye marination.
Mchana nimekula ugali na mpenda na mtindi. So hapo ni ovacado shake na mboga mboga na matunda tu kidogo kwa afya.Aiseee[emoji23]
Siwezi kula mboga pekeyake halafu nilale usingizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
15 si tunanunua mazaga zaga ya kula week nzima asee?Chenyewe cha mtu mmoja nishawahi agiza cha 15 elfu, na Simara amesema wamepandisha sijui bei zikoje kwa sasa.
Hata nishibe vipi mchana ,usiku siwezi kulala kwa kula mboga.Mchana nimekula ugali na mpenda na mtindi. So hapo ni ovacado shake na mboga mboga na matunda tu kidogo kwa afya.
Unakunywa daily gabrielle?[emoji126]View attachment 1992578
Yanaonekana tu malainiiiii! πMike Niko hapa
View attachment 1991980
Mimi nimezoea naweza kufanya hata detox siku mbili nakunywa smoothie au matunda na mboga mboga tu asubuhi mchana na jioni.Hata nishibe vipi mchana ,usiku siwezi kulala kwa kula mboga.
Bora nisile mchana ila usiku Nile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaldayo unakula nini hizo zimeunguzwa ππ
Acha masihara yako, si kuna siku za kula cha nje na siku za kula vya home?15 si tunanunua mazaga zaga ya kula week nzima asee?
Hivyo vya nje mara nyingi vinakuwa sio. Basi tu vimenakshiwa kimuonekano na ladha nzuri lakini in terms of nutrition havina tija.Acha masihara yako, si kuna siku za kula cha nje na siku za kula vya home?
UwiiMimi nimezoea naweza kufanya hata detox siku mbili nakunywa smoothie au matunda na mboga mboga tu asubuhi mchana na jioni.