Uzi wa vyakula tu

Whatever man
Rafiki kumbe upo hai?Ngoja upatwe na cancer ndipo utakaposema "whatever man"!

Halafu ukipatwa na cancer wala hutokufa bali ni kuteseka tu.Zingatia sana kula vyakula sahihi kwa sababu ndivyo vinavyokufanya kuwa hai na kukukinga na magonjwa hatari na yanayotesa sana kama cancer.

Gharama ya ujinga ni kubwa sana.Usikubali kuwa mjinga kwa makusudi kwani utalipa tu.Nenda kwenye hospitali za cancer uone watu wanavyoteseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…