Mbona umeweza...jmosi uje tupike woteWeekend ya kujaribu.
Trial and error[emoji38]
Wanaojua keki jamani nifundisheni mwenzenu.View attachment 2040345View attachment 2040347View attachment 2040350View attachment 2040351
[emoji39][emoji39][emoji39]Karibu my dear..anytime [emoji4]
Jamani Dina hizo nyama unazokula mlo mmoja nyumbani kwangu nakula siku tatu
Nikirudia kupika tena inaweza isitokee tena kama hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona umeweza...jmosi uje tupike wote
Nakuja naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu my dear..anytime [emoji4]
Wewe ukija ndio zawadi yenyewe my dear..na utapika mwenyewe maana mimi nikipika huliNikirudia kupika tena inaweza isitokee tena kama hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata vipimo sijui.
Btw nimekumiss aisee,,,nakutafutia zawadi ndio nije.
Mbona sio nyingiJamani Dina hizo nyama unazokula mlo mmoja nyumbani kwangu nakula siku tatu
Sasa si unaona..hii si nusu kabisa hii jamani. Halafu anakuja Behaviourist na mabango yake ya vitamin kutuhubiria. Sie wengine tunakula kushiba tu jamani mambo ya vitamin tunawaachieni ninyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona sio nyingi
Au una familia kubwa ,ukiwa na familia kubwa changamoto kidogo
Hii ni juzii
View attachment 2040384
Hapo kuna vitamini kweli 😂😂😂Sasa si unaona..hii si nusu kabisa hii jamani. Halafu anakuja Behaviourist na mabango yake ya vitamin kutuhubiria. Sie wengine tunakula kushiba tu jamani mambo ya vitamin tunawaachieni ninyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo vizur sema moto labda ndio ukubalance vizur.Weekend ya kujaribu.
Trial and error[emoji38]
Wanaojua keki jamani nifundisheni mwenzenu.View attachment 2040345View attachment 2040347View attachment 2040350View attachment 2040351
naomba niwe mgeni wakoMie mwenzenu sijui kupika chapati za kusukuma mpaka leo ila za kumimina nimo tu Evelyn Salt mwenzangu ushajua ??? Au ndio mikate ya yesu
Za hivi ukiniambia napika tu haraka au kalimati lakin vitu vya kukanda na kusukuma aiseee
View attachment 2040411
View attachment 2040415
Njoonaomba niwe mgeni wako
[emoji23]Wewe ukija ndio zawadi yenyewe my dear..na utapika mwenyewe maana mimi nikipika huli
Tufundishane .Mie mwenzenu sijui kupika chapati za kusukuma mpaka leo ila za kumimina nimo tu Evelyn Salt mwenzangu ushajua ??? Au ndio mikate ya yesu
Za hivi ukiniambia napika tu haraka au kalimati lakin vitu vya kukanda na kusukuma aiseee
View attachment 2040411
View attachment 2040415
Kwa inavyonekana ,Moto umezidi au umepungua??Ipo vizur sema moto labda ndio ukubalance vizur.
Alaf cake inaanzia kwenye vipimo vya ingredients zako ukikosea kimoja umekosea vyote
UmezidiKwa inavyonekana ,Moto umezidi au umepungua??
Mimi aliyenifundisha kutumia samli ndio alimaliza kila kitu. Za kumimina mimi mwenyewe sijui halafu sio mpenzi ila hizi zako zimenivutiaaMie mwenzenu sijui kupika chapati za kusukuma mpaka leo ila za kumimina nimo tu Evelyn Salt mwenzangu ushajua ??? Au ndio mikate ya yesu
Za hivi ukiniambia napika tu haraka au kalimati lakin vitu vya kukanda na kusukuma aiseee
View attachment 2040411
View attachment 2040415