Hapo thawa...Ee ndio sema hapo nakula chakula kwanza then nikimaliza ndio nakunywa hiyo chai.
Dah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2075924
Hapo uliuziwa ugali maharage tu, km ulilipa hiyo mishkaka then umepigwa na chuma kizito sana
Ukitoka hapo ni kunyamba tu😁
Sawa nyama wamekula wenyewe jikoni.Made in cafeteriaView attachment 2075884
Kongoro, usituharibie jina la supu pendwa
Hiki ni chakula gani!!?