Achana nae huyoHalafu Mama wa mtu mmoja huwa ni Mama wa kila mtu kwa sababu Mama wote ni kitu kimoja.
Ukimwona mtu anamtukana Mama wa mtu mwingine jua huyo mtu hana akili kwa sababu hajui ya kwamba Mama wote ikiwa ni pamoja na Mama yake ni kitu kimoja.
Kabisa 🙂Kunakushiba kweli hapa
duh hatari basi....Kabisa 🙂
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕💪💪💪💪💪💪🖕🖕🖕👇👇👇👇👇👇👇👇👇🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕👎
unaanza kutukana watu ukirudishiwa unaanza kuitisha huruma za watu,mama ni mama ndio ila wewe pia usitukane watu,mada zako peleka jukwaa la afya simple.Halafu Mama wa mtu mmoja huwa ni Mama wa kila mtu kwa sababu Mama wote ni kitu kimoja.
Ukimwona mtu anamtukana Mama wa mtu mwingine jua huyo mtu hana akili kwa sababu hajui ya kwamba Mama wote ikiwa ni pamoja na Mama yake ni kitu kimoja.
Noted [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji91][emoji91][emoji91]
Safi Sana mtu wangu
Dada angu mbona mim nikipika wali hauwi mtamu...natumia rice cooking machine...ila akijaga mtoto wa kike hapa wali huwa mtamu sana..sasa sjui nakwama wap .au napunja sana maj nin...
Tamujeee[emoji39][emoji39][emoji39]Uchovu wa leo muda wa kupika haukwepo.
Sushi chini ya soy sauce, rice, chicken teriyaki na spring rolls.
Arigato - hadi naongea kijapani [emoji16][emoji16]
View attachment 2090963