Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Anyway nawapa hi nimepita kidogo kwenye huu uzi kuiba picha huku nazidownload
Zinaenda tumika kwenye conversation flani hivi kwenye WhatsApp chat
Kuna ndege wangu namtega nataka nimvute bandani na anapenda raha anapenda kula huyo
Kula sana kipaji AuntieMh ww hata usisingizie karanga kila siku ulaji wako ndio wa hivi,unatakiwa kufanya diet kabisaaaaaa auntie[emoji4]
Aiseee kazi kweli kweli![emoji23] aya sawaKula sana kipaji Auntie
Ngoja nijifunze kula sana Auntie..natamani ila nashindwa.Aiseee kazi kweli kweli![emoji23] aya sawa
Unatakiwa kuongeza kipimo kifike level ya kawaida maana kwa hiyo level yako hata ukiongeza haitakuwa sana itakuwa kawaida tu maana n kidogo sana auntNgoja nijifunze kula sana Auntie..natamani ila nashindwa.
Mwee Auntie mbona level yangu hiyo ndio normal😆Unatakiwa kuongeza kipimo kifike level ya kawaida maana kwa hiyo level yako hata ukiongeza haitakuwa sana itakuwa kawaida tu maana n kidogo sana aunt
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anyway nawapa hi nimepita kidogo kwenye huu uzi kuiba picha huku nazidownload
Zinaenda tumika kwenye conversation flani hivi kwenye WhatsApp chat
Kuna ndege wangu namtega nataka nimvute bandani na anapenda raha anapenda kula huyo
Angalau japo mm sishibi bado[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]Angalau japo mm sishibi bado[emoji23][emoji23][emoji23]
Ee ndio Aunt [emoji851]hapa n kula tuAiseee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ee ndio Aunt [emoji851]hapa n kula tu
Nipende kutoa shukurani za dhati kwa dada Eliza na niseme tu samahani sana kwa kuiba picha ila huu uzi una manufaa nimeupendaAnyway nawapa hi nimepita kidogo kwenye huu uzi kuiba picha huku nazidownload
Zinaenda tumika kwenye conversation flani hivi kwenye WhatsApp chat
Kuna ndege wangu namtega nataka nimvute bandani na anapenda raha anapenda kula huyo