Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20220526_194218.jpg
 
Anyway nawapa hi nimepita kidogo kwenye huu uzi kuiba picha huku nazidownload
Zinaenda tumika kwenye conversation flani hivi kwenye WhatsApp chat

Kuna ndege wangu namtega nataka nimvute bandani na anapenda raha anapenda kula huyo
Nipende kutoa shukurani za dhati kwa dada Eliza na niseme tu samahani sana kwa kuiba picha ila huu uzi una manufaa nimeupenda
GridArt_20220527_130215243.jpg
 
Back
Top Bottom