Uzi wa vyakula tu

Kaugali ka fasta fasta hapo nimetoka kuswampa Kariakoo Jumamosi nampigia dada nipikie ugali na nyanya chungu na kisamaki cha jana...ukimaliza unashusha na maji bardiiiiiii unafunga kanga unalala [emoji23][emoji23][emoji23]
Full burudani yaani🀣
Nilivyokula nikashushia na maji..tumbo ndiii.

Ilikuwa mchana hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…