Half american rudisha andazi moja nimpe Dej πNimekasirika huyu half america ndio ana mdomo pekeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Arudishe yote tugawane upyaHalf american rudisha andazi moja nimpe Dej π
Yaani nimeiskia harufu yake nzuri adi hukuπ₯°π
Nini shida best
Ilibidi niingie jikoniYaani nimeiskia harufu yake nzuri adi hukuπ₯°π
Looks delicious π
Af kweliπ€£π€£π€£Atakuwa kammiss mpika maandazi wake πππ
Ndio maana kaka amekuganda, kumbe mambo yenyewe ndio haya, me nilikua nahisi umemuwekea limbwata kaka angu.Ilibidi niingie jikoni
Ningebaki na cm mkononi kuna mtu kingemkuta kitu π€£π€£
ππππ kaka gani tena aisee?Ndio maana kaka amekuganda, kumbe mambo yenyewe ndio haya, me nilikua nahisi umemuwekea limbwata kaka angu.
Aah aendelee tu kukuganda bana na kadi ya bank akupeππ
Wakiwa wanatuacha wanajifanyaga wababeAf kweliπ€£π€£π€£
Maskini mtengenezee na juice ashushie apoze machungu, anahitaji faraja zaidi
Ndio hvo haielezeki πNini shida best
π achaAtakuwa kammiss mpika maandazi wake πππ
ππ―ππππ kaka gani tena aisee?
ππ memories, yani mimi ni wa kumkumbuka kisa maandazi?Wakiwa wanatuacha wanajifanyaga wababe
Kumbe akiona tu andazi anamkumbuka
Pole mwaya ndio maisha, watu wabaya sanaπNdio hvo haielezeki π
π acha
Hapo kachozi lazima kamemtoka kwa mbaliWakiwa wanatuacha wanajifanyaga wababe
Kumbe akiona tu andazi anamkumbuka
ππ―
Jitetee Half american πππHapo kachozi lazima kamemtoka kwa mbali
Akale huko hapa story tu au basi goja nimkatie robo. Dejane si kidogo tu kwa afyaHalf american rudisha andazi moja nimpe Dej π
Maa shaaa Allah Hasbiya Allah! Kitu mafta maftah bibie [emoji1305]
π€£π€£π€£ Na bora ulitemana nae ukatupikia mandazi matamuπ.Ningβatwe na nyuki nifeeee π€£π€£
Niliachia simu sbb ya ile popoma
Ningebaki nayo ilikuwa ni unblock = ugomvi mpya