Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
π inachosha kwa kweliPole mwaya ndio maisha, watu wabaya sanaπ
Virutubisho bweleleee
Inabidi ufanye mpango sasaπ inachosha kwa kweli
π€£ Lenie sie wengine wepesi kujidhuru nyie palieni tu makaa kwenye motoHapo kachozi lazima kamemtoka kwa mbali
Mpango upi? Hapa ndipo napokupendea, enhe!!Inabidi ufanye mpango sasa
Mwambie ajiangalieeπ€£π€£π€£ Na bora ulitemana nae ukatupikia mandazi matamuπ.
Popoma wacha ahangaike, chezea ussssshuuunguuuuu
Na utu uzima huu sijawai kula bata wala yai lake.Yai la bata linapikwaje
View attachment 2530704
NalipendaYai la bata linapikwaje
View attachment 2530704
Mpya sitakiUkitaka kujinyonga niite nikuletee kamba
Mpyaaa
Nzee hutodhurika vizuriMpya sitaki
Nilijaribu kuchemsha haliliki shomboNalipenda
Kiini cha njanoooo
Kama la kuku unachemsha dk 10
La bata ni two times la kuku
La bata gumuu
Hautashiba, utapoteza tu mafuta yako bureπ€£π€£π€£Mwambie ajiangaliee
Nitamkaanga πππ
Ushunguuu si ajitapishe umtoke ππ
Kumbe unataka nifeNzee hutodhurika vizuri
Mh serious? Huyo bata alikuwa anaumwa au πNilijaribu kuchemsha haliliki shombo
ππKumbe unataka nife