Uzi wa vyakula tu

Dagaa wa karanga wanakuwaga watamu balaa.
Japo mimi sipendi Wala sili dagaa, ila ni watamu Sana.

Mboga nyingine tamu kuweka karanga ni yale majani ya maboga, na mbogamboga nyingine za majani.
Mm napenda dagaa wenye limao jingi. Ukiweka karanga unaweka na limao pia ama unapika tu kawaida??

Sent using Jamii Forums mobile app
VYovyote tu hata hao niliwekea limao kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…