Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha Hapana mkuu ntajaribu 😂Hujawahi kula dagaa waliowekwa karanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Hapana mkuu ntajaribu 😂Hujawahi kula dagaa waliowekwa karanga?
Unamaanisha hujawah kula dagaa zenye karanga?Dagaa unaweka karanga we jamaa [emoji23]
Kaka naomba litoke shauri la mahakama jamaa apelekwe jela..haiwezekani hajawah kula dagaa tamu zenye karanga.Hujawahi kula dagaa waliowekwa karanga?
Sijawahi mkuuUnamaanisha hujawah kula dagaa zenye karanga?
Ni tamu mnoo chiefSijawahi mkuu
Mm napenda dagaa wenye limao jingi. Ukiweka karanga unaweka na limao pia ama unapika tu kawaida??Ni tamu mnoo chief
Unapishana na utamu me nmekula hadi cabbage ya karanga utamu wake sio mchezoHahaha Hapana mkuu ntajaribu [emoji23]
Nmeshangaa kwakweli ahukumiwe tu hakuna namnaKaka naomba litoke shauri la mahakama jamaa apelekwe jela..haiwezekani hajawah kula dagaa tamu zenye karanga.
Mimi nachojua ni nyama za karanga hizo nmekula Sana kwa bibi mbeya huko [emoji16] Tamu Sana na samaki alkua anaweka karangaUnapishana na utamu me nmekula hadi cabbage ya karanga utamu wake sio mchezo
On my list chiefNi tamu mnoo chief
Kajarib hutojutaMimi nachojua ni nyama za karanga hizo nmekula Sana kwa bibi mbeya huko [emoji16] Tamu Sana na samaki alkua anaweka karanga
I will try it tomorrow and I will give you a feedback
Dagaa wa karanga wanakuwaga watamu balaa.Dagaa unaweka karanga we jamaa [emoji23]
Unatembelea mule mule chiefOn my list chief
Mimi dagaa Hawa wa baharini huwa nawachukua
Naivisha Sana nyanya nawapika na viazi mviringo naweka hoho nyingi na karoti na nazi
Mzee hio rojo inatokea hapo [emoji23] huwa nakaa chini kwanza nasema Damn mani [emoji23]
Kisamvu chenye karanga..tena kiwe kiporo sasaDagaa wa karanga wanakuwaga watamu balaa.
Japo mimi sipendi Wala sili dagaa, ila ni watamu Sana.
Mboga nyingine tamu kuweka karanga ni yale majani ya maboga, na mbogamboga nyingine za majani.
Dagaa wa karanga wanakuwaga watamu balaa.
Japo mimi sipendi Wala sili dagaa, ila ni watamu Sana.
Mboga nyingine tamu kuweka karanga ni yale majani ya maboga, na mbogamboga nyingine za majani.
VYovyote tu hata hao niliwekea limao kidogoMm napenda dagaa wenye limao jingi. Ukiweka karanga unaweka na limao pia ama unapika tu kawaida??
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaUnatembelea mule mule chief
Mboga za majani Sawa hizo kuweka poa MbonaDagaa wa karanga wanakuwaga watamu balaa.
Japo mimi sipendi Wala sili dagaa, ila ni watamu Sana.
Mboga nyingine tamu kuweka karanga ni yale majani ya maboga, na mbogamboga nyingine za majani.