Uzi wa vyakula tu

Yes, we have a deal!

Ila nitamkumbusha Dr Lizzy hata Yanga hufanya mazoezi ya kutosha wakiwa na kila nia ya kupata ushindi dhidi ya Simba...

Sasa sijui tutampiga picha akiwa amekaa au amesimama...
Ohhh I'll be prepared alright!!!!πŸ’ͺ🏾

πŸ“Έ yangu mtanipiga nikiwa napika, nyie ntawapiga mkiwa mnaosha vyombo after lunch....or will it be dinner πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…