Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wait a sec....🤔
Na nikimaliza na kuongeza juu???? Nadhani nta-post 📸 yenu ya pamoja na
Depal alikua anakula dinner, kisha supper baadayeMarisia njoo uniambie Depal kala nini hapa mpaka kale kaugali kangu kasitoshe???🙄
Nyama zinajitosheleza ila huto tundizi ni sawa na hutu tuchips twangu tu 😁
View attachment 2600776
You've really come a long way!
It's not too late to start,You've really come a long way!
Ningeanza na wewe, kweli nami pia ningekuwa mbali!
Congratulations!
Ohhh I'll be prepared alright!!!!💪🏾Yes, we have a deal!
Ila nitamkumbusha Dr Lizzy hata Yanga hufanya mazoezi ya kutosha wakiwa na kila nia ya kupata ushindi dhidi ya Simba...
Sasa sijui tutampiga picha akiwa amekaa au amesimama...
Atapigwa picha kwa matukio yote. Tokea anakata vitunguu vinamliza mpaka anapopakua msosiYes, we have a deal!
Ila nitamkumbusha Dr Lizzy hata Yanga hufanya mazoezi ya kutosha wakiwa na kila nia ya kupata ushindi dhidi ya Simba...
Sasa sijui tutampiga picha akiwa amekaa au amesimama...
😂😂 utasubiri tumalize kuosha vyombo, tuoge tukae mkao wa 📸Ohhh I'll be prepared alright!!!!💪🏾
📸 yangu mtanipiga nikiwa napika, nyie ntawapiga mkiwa mnaosha vyombo after lunch....or will it be dinner 🤔
Kwani lazima mpendeze sana???🙄😂😂 utasubiri tumalize kuosha vyombo, tuoge tukae mkao wa 📸