Uzi wa vyakula tu

Basi uwe unakatumia hako ili usiwe unazidisha, unless uwe na wageni.
Ugali sio nakula ila nafukia vibaya kuna siku nilipika dagaa wa Mwanza wale wa kwenye vipakti nikapika ugali wa unga nusu na robo nile mchana na jioni si unajua tena maisha ya ghetto kuepuka usumbufu kupika tena nikaweka kwenye hotpot kilichofuata nilikula msosi woooote mchana[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…