Uzi wa vyakula tu

Mkuu mimi sio mpishΓ¬ sana ila hata mimi iliwahi nitokea. Sababu kubwa ni kuwa unawakaanga wakiwa bado na maji maji. Hivyo mafuta yanakuwa saturated (meaning mafuta yana kiasi kikubwa cha hydrogen atoms, ila carbon–carbon double or triple bonds.
"saturated hydrocarbons" zinakuwa hakuna na kukosa ule uhalisia wa mafuta inakuwa kama unawachemsha.

Next time ukishawaosha waanike watoke maji vizuri kisha wakaange kisha nipe mrejesho.
 
Shukran mkuu, huenda hii hoja yako ni kweli kwa sababu huwa nawapitia usiku mida ya saa 2 then nikifika geto nawakaanga bila kuwaanika kwa sababu muda huo hakuna jua.

Next time najaribu kufuata ushauri wako then nitatoa mrejesho.
 
ingia youtube kjn
 
Cha kwanza samaki ukishawaosha unawaacha kwa muda wachuje maji, cha pili hakikisha mafuta yamepata moto vizuri kabla ya kuanza kuwakaanga na cha tatu ukiwaweka kwenye mafuta subiri wakauke usiwageuze mapema hii itasaidia wasigandie kwenye sufuria na wataiva vizuri.
 
Unaweka wakati mafuta hayajapata moto kisawasawa.
Otherwise weka kwenye oven.
Hata kuchemsha huwezi aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…