[emoji23][emoji23][emoji23] aisee Mimi roast inanishindaga hata nusu simalizi ya kukaanga ndo yenyewe mazeee ngoja kesho ao jmos naweza kwenda kyela kutembea nitaagiza moja na nusu peke angu.Si tulikua mtu 3 tukuyu hapo, ikawa choma lete kaanga lete,choma lete tunashushia na Bapa.
Tulimla mdudu sijui kilo ngapi mpk tukasahau tunaenda wapi kwa kuvimbiwa[emoji16]
Roast na ugali nusu humalizi,choma kaanga mtu kilo 2 unapiga fresh tu na nyongeza juuaisee Mimi roast inanishindaga hata nusu simalizi
Roast Yale mafuta na minyanyanya na mavitu mengine ndo yanakinaishaRoast na ugali nusu humalizi,choma kaanga mtu kilo 2 unapiga fresh tu na nyongeza juu
Inategemea na size na vikorombwezo unavyohitaji.Oooh ntakaribia Asante itahitajika shingapi tutoe keki.
Sawa sisterInategemea na size na vikorombwezo unavyohitaji.
Ukija mjini nicheck.
Umezitengeneza mwenyewe?
I wish......!🥴Umezitengeneza mwenyewe?
Anhaa sawaI wish......!🥴
Mama asante yaani unanipatia haswa😘