Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Si tulikua mtu 3 tukuyu hapo, ikawa choma lete kaanga lete,choma lete tunashushia na Bapa.
Tulimla mdudu sijui kilo ngapi mpk tukasahau tunaenda wapi kwa kuvimbiwa[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee Mimi roast inanishindaga hata nusu simalizi ya kukaanga ndo yenyewe mazeee ngoja kesho ao jmos naweza kwenda kyela kutembea nitaagiza moja na nusu peke angu.
 
20230706_190828.jpg
 
Back
Top Bottom