Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee Mimi roast inanishindaga hata nusu simalizi ya kukaanga ndo yenyewe mazeee ngoja kesho ao jmos naweza kwenda kyela kutembea nitaagiza moja na nusu peke angu.Si tulikua mtu 3 tukuyu hapo, ikawa choma lete kaanga lete,choma lete tunashushia na Bapa.
Tulimla mdudu sijui kilo ngapi mpk tukasahau tunaenda wapi kwa kuvimbiwa[emoji16]