Uzi wa vyakula tu

Kungekuwa na kapilau/wali kidogo pembeni ningelamba simu!🀀😡

Mideko kuna siku huwa anakua nostaligic, anatembelea zake post za zamani alafu anatukumbusha na sisi kwa likes!☺️😁
Haha uwa mnapenda sana kuwekapo ka pilau. Ila haifikii utamu wa kande lenye nazi na peanut liliwe na parachichi.

Mideko bana amelike pilau la Xmas 🀣
 
Hamna cha rich auntie hapa...huyu ni always-find-a-short-cut auntie!😁😁

Water dispenser ndio #richpeoplevibe sasa!😎 Ms eyes achague tu yeye anafit wapi!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hamna cha urich wala nini dada. Ni kukaza makomwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…