Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Haha uwa mnapenda sana kuwekapo ka pilau. Ila haifikii utamu wa kande lenye nazi na peanut liliwe na parachichi.Kungekuwa na kapilau/wali kidogo pembeni ningelamba simu!🤤😵
Mideko kuna siku huwa anakua nostaligic, anatembelea zake post za zamani alafu anatukumbusha na sisi kwa likes!☺️😁
Mideko bana amelike pilau la Xmas 🤣