Ka ugali kazuri tena ka moto kanapatikana pale Cafe la Zyne ila ukitaka kale kekundu na kichuri pale Pallsons patakufaaCc Mjep ๐ wapi kuna chimbo zuri la ugali? Nina task hapa ya kula ugali na kuutupia
Hapo kwa Zyne pamepita. Ka ugali na maini ๐๐Ka ugali kazuri tena ka moto kanapatikana pale Cafe la Zyne ila ukitaka kale kekundu na kichuri pale Pallsons patakufaa
Hehehe. Wia so bak dhis taim.
๐๐๐Hehehe. Wia so bak dhis taim.
Dr alitoa ushauri gani? ๐๐๐๐Sasa unakoelekea utakufa njaa mdogo wangu umeanza kula kama Dr Lizzy au ndiyo unazingatia ushauri wa Janabi?
Sahihi! Cheat Meals evri nao en dhen si mbaya sana.๐๐๐
Ruksa siku moja moja hamu ikiwepo!๐
Kama leo mood ya kula ipo...Sahihi! Cheat Meals evri nao en dhen si mbaya sana.
Janabi anasema tupunguze portion mdogo wangu, sasa ile portion yetu watu wa mbeya si unaijua! Si atatuua njaa huyu?Dr alitoa ushauri gani? ๐๐๐๐
mimi mwaka juzi wallah๐คฃNimemiss ugali. Mara ya mwisho nimeula Dar dec ๐
Yesuuu ruwa!! We umezidi.mimi mwaka juzi wallah๐คฃ
wali, chapati๐Yesuuu ruwa!! We umezidi.
Unakula nini mwaka mzima? ๐๐
๐๐ huboreki? Nyongeza na ndizi, chipswali, chapati๐
You will be a very hard to please husband...View attachment 2902748
[emoji1435][emoji1435] mastered the art, can do it with eyes closed and hands tied