Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka ugali kazuri tena ka moto kanapatikana pale Cafe la Zyne ila ukitaka kale kekundu na kichuri pale Pallsons patakufaaCc Mjep 😂 wapi kuna chimbo zuri la ugali? Nina task hapa ya kula ugali na kuutupia
Hapo kwa Zyne pamepita. Ka ugali na maini 😂😂Ka ugali kazuri tena ka moto kanapatikana pale Cafe la Zyne ila ukitaka kale kekundu na kichuri pale Pallsons patakufaa
Hehehe. Wia so bak dhis taim.
😆😆😆Hehehe. Wia so bak dhis taim.
Dr alitoa ushauri gani? 😂😂😂😂Sasa unakoelekea utakufa njaa mdogo wangu umeanza kula kama Dr Lizzy au ndiyo unazingatia ushauri wa Janabi?
Sahihi! Cheat Meals evri nao en dhen si mbaya sana.😆😆😆
Ruksa siku moja moja hamu ikiwepo!🙂
Kama leo mood ya kula ipo...Sahihi! Cheat Meals evri nao en dhen si mbaya sana.
Janabi anasema tupunguze portion mdogo wangu, sasa ile portion yetu watu wa mbeya si unaijua! Si atatuua njaa huyu?Dr alitoa ushauri gani? 😂😂😂😂
mimi mwaka juzi wallah🤣Nimemiss ugali. Mara ya mwisho nimeula Dar dec 😂
Yesuuu ruwa!! We umezidi.mimi mwaka juzi wallah🤣
wali, chapati😂Yesuuu ruwa!! We umezidi.
Unakula nini mwaka mzima? 😂😂
😂😂 huboreki? Nyongeza na ndizi, chipswali, chapati😂
You will be a very hard to please husband...View attachment 2902748
[emoji1435][emoji1435] mastered the art, can do it with eyes closed and hands tied