Uzi wa vyakula tu



Usiku ulipita hivii.... πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Beef Lasagna, basi tuu ila tumbo ni tajiri sana...πŸ€”πŸ€”

Akili za Kasinde....😬😬😬, sijui niliuze hili tumbo ili niachane na kula....πŸ€¨πŸ€”πŸ€”πŸ™„πŸ™„πŸ™„.
 
Mchana leo ulipita dash...πŸ™πŸ™

Ila usiku niliangusha sufuria...



Minofu ya samaki aina Salmon





Magimbi



Vikachanganywa humo kikaangoni...




Late dinner,

Kikaango mwaaa, kikamwagikia kwenye sahani, weeeuweee.....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜Š



Samaki walilainika sana wakawa rojo bin sontojo πŸ˜…, ila vingine vyote vilikuwa on point πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜Š.

Alamsiki.

Ashukuriwe Maulana nilishiba pomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…