Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1000047522.jpg
 
Mchana leo ulipita dash...🙁🙁

Ila usiku niliangusha sufuria...

20240514_053144.jpg


Minofu ya samaki aina Salmon

20240514_053212.jpg


20240514_060812.jpg


Magimbi

20240514_060945.jpg


Vikachanganywa humo kikaangoni...

20240514_062411.jpg



Late dinner,

Kikaango mwaaa, kikamwagikia kwenye sahani, weeeuweee.....😋😋😋😊

20240514_062422.jpg


Samaki walilainika sana wakawa rojo bin sontojo 😅, ila vingine vyote vilikuwa on point 😋😋😋😋😊.

Alamsiki.

Ashukuriwe Maulana nilishiba pomoni.
 
Back
Top Bottom