Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye ugali na sontojo la sato utakua umeniweza 😋😋😋
Na maziwa ya mgando pembeni😋Na unavyojua kupika naweza maliza kilo ya Unga🤣🤣🤣Bila shaka, sijajua itakuwa lini ila iko siku ntaketi kwenye kigoda nisonge huo ugali na sontojo la Sato.
Nitaweka mrejesho hapa.
Usisahau na maziwa ya mgando pembe na kwa unavyootupia mapishi naona sontojo litakua 💥💥
Na maziwa ya mgando pembeni😋Na unavyojua kupika naweza maliza kilo ya Unga🤣🤣🤣