Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

infoods_specials-20241121-0002.jpg
 
20241124_193203.jpg


Pishi la mama mpigiii 😋😋😋😋
Mwanamke nimelivalia jiko kaboka eehehehhee chezeiyaa weweee, rosti la mamboga mboga ilibidi litulie tuu litokee mwake. Kila kitu hapo kilikiwa on point.

Najua...., ila mie huwa najijua siku nikivurunda kupika na siku nikitoa kitu mwakeee. Ni vile tuu niko mvivu wa kupika na sipiki kila siku.
 
20241124_193342.jpg


Hiyo ndo sahani yangu, nilishiba ila niliongeza ugali kumalizia mboga halafu nikaongeza mboga kumalizia ugali na kujizuia kuongeza nyama.

Maana tumbo halina shukurani utalipa utalipatia na bado litataka tena na tena....!
 
Back
Top Bottom