Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20241124_201222.jpg


Waswahili wanasma raha jipe mwenyeweee, hapo nimejifanyia home made banana float ice cream πŸ˜…πŸ˜…. Ice cream ya bakresa nikaweka na ndizi mbivu kwa chini, desert tayari... was yummy πŸ˜‹.

Alamsiki, until we meet again πŸ˜‰.
 
View attachment 3162758


mzabzab uliulozia matobolwa hayo hapo.
Viazi vitamu vya orange video vimeokwa kwenye oven, vilipoiva nikapasua kati na kuweka cheese πŸ§€πŸ˜‹πŸ˜.

Ukuje na shurbati ya kushushia matobolwa.
Nice...haya mwambie shemeji kuwa kuna mgeni leo hakikisha anakuwepo sitaki shetani apite katikati yetu...nisije nikala zaidi ya matobolwa
 
Nice...haya mwambie shemeji kuwa kuna mgeni leo hakikisha anakuwepo sitaki shetani apite katikati yetu...nisije nikala zaidi ya matobolwa

Aahahahahaa nimechekaaaa, ukuje na miwani ya mbao ili usione mpishi alivyo. Wewe ukule matobolwa tuu mpishi kapuliziwa pilipili manga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Ila ujumbe ntaufikisha eehehehee πŸ˜„πŸ˜„.
 
Asante. Nasikianvinasaidia kibamia kukua...hili lina ukweli?

Bila kupingwa na ukitaka kuhakiki uende kule unyamwezini uone namna vimehusika mizigo kuwa mizito....πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›.

Sema ukitaka kibamia kikue kama mizigo ya Unyamwezini, visababishi ni vingi. Ukiacha vinasaba, kuna karanga za asili za kule, asali, hayo matobolwa, nsasa na nswalu na tuumbaakuuu mbichi....πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜‹.
 
Back
Top Bottom