Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Bila kupingwa na ukitaka kuhakiki uende kule unyamwezini uone namna vimehusika mizigo kuwa mizito....😛😛😛.

Sema ukitaka kibamia kikue kama mizigo ya Unyamwezini, visababishi ni vingi. Ukiacha vinasaba, kuna karanga za asili za kule, asali, hayo matobolwa, nsasa na nswalu na tuumbaakuuu mbichi....😛😛😋.
Mnyamwezi wayomba vie.....una mnyeti wee mnyamwezi. Haya wagisi wotee ku kaya
 
20241127_103232.jpg
 
Mnyamwezi wayomba vie.....una mnyeti wee mnyamwezi. Haya wagisi wotee ku kaya

Ahahahahaa mzab, nani amekuuma sikio...!!!?😄😄😄.

Walomba hee, walomba henyaa...😁😁😁.

Kama hujapata viazi vitamu kuna mdada wa kingoni namfahamu ni mjasiriamali huyo anaweza kuvitafuta na kukuletea. Na anajua kupika hata ukitaka akupikie atapika kabisa. Umtumie tuu na ya kutolea na usafiri ila bidhaa inakuja na viwango TBS fulu.

Nikikupa namba yake, usiseme nimekupa, mwambie umeiona mtandaoni maana anaweb yake ya kuuza bidhaa anazotengeneza.

Ukimdondokeamo shauri yako, wangoni wanapenda mambo hayo ya kusukumana viunoni 😅😅😅.
 
Sasa huyo ndio atanifaaa....maana analeta viazi na pia tunapeana raha
 
Back
Top Bottom