Pishi la mama mpigiii ππππ
Mwanamke nimelivalia jiko kaboka eehehehhee chezeiyaa weweee, rosti la mamboga mboga ilibidi litulie tuu litokee mwake. Kila kitu hapo kilikiwa on point.
Najua...., ila mie huwa najijua siku nikivurunda kupika na siku nikitoa kitu mwakeee. Ni vile tuu niko mvivu wa kupika na sipiki kila siku.