Uzi wa vyakula tu

Sijaziona Walnut wala Macademia nut na hazel nut...
Itabidi tuahirishe huu mchuano.....😎

Aahahahhaaa nimechekaaa, sijui umewaza nini 😁😁😁.

Wacha nirudi pale dukani kwa mhindi, anipatie hizo bidhaa japo kuna nuts zinauzwa bei ghali hadi unasema zina dis-viral infectant.....!!!? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Yaani ukila hizo huumwi, japo pia nafaka/nuts nyingi zina manufaa makubwa sana kwenye mwili wa binadamu.

Ntarudi kiduka cha uhindini pale nione pochi inaruhusu kupata hizo nuts...!?

Ukiona kimya ujue maji yamezidi unga πŸ˜„πŸ˜„.
 


mzabzab Njowooo na pilipili makande ya nafaka mbichi yameiva πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.

Pembeni ni shurbati ya nanasi na embe ambayo haijachujwa.

Maharage yalirojeka hata hayaonekani...πŸ˜….





Raha jipe mwenyeweee πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹



Makande remix 😊.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…