Uzi wa vyakula tu

Sasa huko sio kukatika my dear.

Pia inategemea na kiwango inachoweka huo mtindi.

Kma ni wa kupika nyumbani au chakula cha watu wengi.

Bora masalo yako yawe na ladha ya viungo tatizo ni kwenye makisiaji ya viungo na masalo kuchemka vzuri.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwii kumbe sio kukatika kule ni nini sasa?

Mfano chakula cha watu wazima 3 na watoto 2 mtindi unatakiwa kiasi gani?

Ile pakti ya nusu huwa naigawa mara mbili, so naweka unaobaki unaenda kwenye matumizi mengine.
 
Mtindi hua haukatiki hvyo ndo unavyokua ila sijui lbda kila mtu na mtindi anaopendelea kuweka.

Inawezekana pia unapoadd huo mtindi huachi masalo yakachemka vzur na viungo vyake kwasababu hata masalo yanapokua hayachemki vizur utahisi kama chengachenga.
 
Sijui kama lina ratiba ila anapika hatare hataree.tatizo anapumuliwa sijui Na huu msako kama amesalimika.humjui mtu anajiita mvuto wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana ana agizasoda nakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…