Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Sasa huko sio kukatika my dear.
Pia inategemea na kiwango inachoweka huo mtindi.
Kma ni wa kupika nyumbani au chakula cha watu wengi.
Bora masalo yako yawe na ladha ya viungo tatizo ni kwenye makisiaji ya viungo na masalo kuchemka vzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwii kumbe sio kukatika kule ni nini sasa?
Mfano chakula cha watu wazima 3 na watoto 2 mtindi unatakiwa kiasi gani?
Ile pakti ya nusu huwa naigawa mara mbili, so naweka unaobaki unaenda kwenye matumizi mengine.