Uzi wa vyakula tu

Kwanza akizimenya na kukatakata. Aloweke kwenye maji yenye chumvi

Pia anaweza kuweka ule mchanganyiko wa spring onions,karoti,bell peppers na coriander " kwenye yai
Koo mchezo unakuwa umeishia hapo mkuu
 
Koo anakuwa amevisaga kwenye brend or anakata kawaida tuu mkuu
Kwanza akizimenya na kukatakata. Aloweke kwenye maji yenye chumvi

Pia anaweza kuweka ule mchanganyiko wa spring onions,karoti,bell peppers na coriander " kwenye yai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…