Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuundo maana yake maana nishazoea kuja kuchungulia picha za misosi halafu nakunywa maji nalala sasa leo ntaona makosa yote ya fundi kwenye ceilling
Hapo ungeweka kwa kiswahili hzo bell peppers spring ili tuelewe st kayumbaKwanza akizimenya na kukatakata. Aloweke kwenye maji yenye chumvi
Pia anaweza kuweka ule mchanganyiko wa spring onions,karoti,bell peppers na coriander " kwenye yai
aisee sawaLeo alhamis
Fasting day
Koo mchezo unakuwa umeishia hapo mkuuKwanza akizimenya na kukatakata. Aloweke kwenye maji yenye chumvi
Pia anaweza kuweka ule mchanganyiko wa spring onions,karoti,bell peppers na coriander " kwenye yai
Kwanza akizimenya na kukatakata. Aloweke kwenye maji yenye chumvi
Pia anaweza kuweka ule mchanganyiko wa spring onions,karoti,bell peppers na coriander " kwenye yai
Unazingua, unashiba kweli hapo?Breakfast ya leo asubuhiView attachment 913931
Sh.ngapi? Ni samaki samaki?
Chakula cha mifugo; ila sishangai mbuga za wanyama nyingi ziko Mara; kamata ugali mkuu!Ule ugali ndio chakula sasa, hapo unakula mboga.
Chakula cha mifugo; ila sishangai mbuga za wanyama nyingi ziko Mara; kamata ugali mkuu!
Pole ila unaweza kula kwa machoHuu uzi sio salama kwa afya yangu kabisa, sio kwa makusudi haya!!
Fish curry na steemed ricee ilaa.mbonaa pichaa ilipigwaa usiku hii jaman??Mezeni tu mate inatoshaView attachment 943733