Uzi wa vyakula tu

Huwa najikuta inaiva mno halafu inakuwa na mamichuzi hata ningeiweka kwa muda mrefu baada ya kuosha. Ni mboga naipenda sana ila huwa sipiki mara nyingi kwa sababu nashindwa kuipika inoge
 
Ukitaka isiwe na michuzi uioshe kwanza ndio ukate na pia wakati wa kupika usifunike kwa muda mrefu
Huwa najikuta inaiva mno halafu inakuwa na mamichuzi hata ningeiweka kwa muda mrefu baada ya kuosha. Ni mboga naipenda sana ila huwa sipiki mara nyingi kwa sababu nashindwa kuipika inoge
 
Huwa najikuta inaiva mno halafu inakuwa na mamichuzi hata ningeiweka kwa muda mrefu baada ya kuosha. Ni mboga naipenda sana ila huwa sipiki mara nyingi kwa sababu nashindwa kuipika inoge
Ukiiosha lazima ijae maji. Sijawahi kuosha kabichi na inakuaga nzuri tu.
 
Hawauoshi huo utumbo?

Sasa wasipouosha si utakuwa na mavi mavi au?

Au hayo mavi mavi ndo yanafanya supu iwe nzito na tamu?

Hahahaa aisee!!!
Hawaoshi yeah..hayo mavi mavi ndo yanafanya inakuwa nzito na tamu..

Karibu uswahilini[emoji2] [emoji2]
 
Ukiosha haiwi na mchuzi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…