Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mbezi beach. Labda wawe wamehama sijui. Pale pembeni ya Ile sheli ya Pili rainbow kama unaelekea kwa zena.
Mbona kasema Masaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbezi beach. Labda wawe wamehama sijui. Pale pembeni ya Ile sheli ya Pili rainbow kama unaelekea kwa zena.
Sio Masaki.Mbona kasema Masaki?
Twende saa moja moja labda maana hapa nasubiria chips yai na firigisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa najikuta inaiva mno halafu inakuwa na mamichuzi hata ningeiweka kwa muda mrefu baada ya kuosha. Ni mboga naipenda sana ila huwa sipiki mara nyingi kwa sababu nashindwa kuipika inogeUkishaikata tayar unaosha kisha unaandaa sufuria yako, weka mafuta kidogo, yakishapata moto unaweka kitunguu, karoti na hoho (zilizokatwakatwa) ukipenda unaweka na thoum kidogo.
Kisha unakoroga koroga vikianza kuiva unaweka tomato paste kidogo (kama unapenda lkn na pia unaweka kulingana na wingi wa kabichi yako) unakoroga kwa dk tatu then unaweka kabichi yako na chumvi na pilipili kama unapenda. Unakoroga ili vichanganyike then utafunika kwa dk 5 -10 ili iive. Baada ya hapo unaipua tayar kwa kula.
Hahahahahaa. Mimi mwenyewe sijawahi kwenda kula ila walaji wenzangu wameshanipa taarifa. Napapitaga tu.
Bas nenda leo ulete mrejesho shostHahahahahaa. Mimi mwenyewe sijawahi kwenda kula ila walaji wenzangu wameshanipa taarifa. Napapitaga tu.
Hiyo hapo lication mkuu [emoji116]Mbona kasema Masaki?
Huyu Nyani Ngabu nilimuelekeza akajitia kanogewa na kitimoto ya Mibs. Tena hapo karibu kabisa na kwao.
Huwa najikuta inaiva mno halafu inakuwa na mamichuzi hata ningeiweka kwa muda mrefu baada ya kuosha. Ni mboga naipenda sana ila huwa sipiki mara nyingi kwa sababu nashindwa kuipika inoge
Ukiiosha lazima ijae maji. Sijawahi kuosha kabichi na inakuaga nzuri tu.Huwa najikuta inaiva mno halafu inakuwa na mamichuzi hata ningeiweka kwa muda mrefu baada ya kuosha. Ni mboga naipenda sana ila huwa sipiki mara nyingi kwa sababu nashindwa kuipika inoge
Hawaoshi yeah..hayo mavi mavi ndo yanafanya inakuwa nzito na tamu..Hawauoshi huo utumbo?
Sasa wasipouosha si utakuwa na mavi mavi au?
Au hayo mavi mavi ndo yanafanya supu iwe nzito na tamu?
Hahahaa aisee!!!
Nilikula wa hivyo Moro. Sikuupenda wala nini. Kwanza unakua mchunguHawaoshi yeah..hayo mavi mavi ndo yanafanya inakuwa nzito na tamu..
Karibu uswahilini[emoji2] [emoji2]
Ukitaka isiwe na michuzi uioshe kwanza ndio ukate na pia wakati wa kupika usifunike kwa muda mrefu
Ukiiosha lazima ijae maji. Sijawahi kuosha kabichi na inakuaga nzuri tu.
Ukiosha haiwi na mchuzi kweli?Ukishaikata tayar unaosha kisha unaandaa sufuria yako, weka mafuta kidogo, yakishapata moto unaweka kitunguu, karoti na hoho (zilizokatwakatwa) ukipenda unaweka na thoum kidogo.
Kisha unakoroga koroga vikianza kuiva unaweka tomato paste kidogo (kama unapenda lkn na pia unaweka kulingana na wingi wa kabichi yako) unakoroga kwa dk tatu then unaweka kabichi yako na chumvi na pilipili kama unapenda. Unakoroga ili vichanganyike then utafunika kwa dk 5 -10 ili iive. Baada ya hapo unaipua tayar kwa kula.
Nitajitahidi. Ila kamati yangu ya wapenda kula haijawahi kuniangushaBas nenda leo ulete mrejesho shost
Hawaoshi yeah..hayo mavi mavi ndo yanafanya inakuwa nzito na tamu..
Karibu uswahilini[emoji2] [emoji2]
Pole ladha ya chakula na mkono pia. Unaweza kuta process zile zile viungo vile vile ila ladha tofauti..kama pilau vile..au mdudu. HahaNilikula wa hivyo Moro. Sikuupenda wala nini. Kwanza unakua mchungu