Uzi wa vyakula tu

PILAU imepikika.

Naona NJEGERE kidogo, na KAROTI.

Samahani MPISHI wetu.

Katika kubadilisha MAPISHI yako, hivi huwa unapika PILAU ya kuchanganya na TUI la NAZI?

Hii haikua pilau ni wali wa mboga mboga.

Hapana sijawahi kupika pilau ya nazi.

Ila ubwabwa wa nazi kwa maharage ni [emoji91]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…