Ooohkey..alafu ukakaanga sio?Limao, soya sauce kidogo, pilipili mtama majani ya kotmir na girigilani kidogo,vitunguu swaum na chumvi.
Nikaweka kwa friji toka mchana mpaka jioni
mama wawili
Nilichemsha kwanza kwa hivo viungo.Ooohkey..alafu ukakaanga sio?
Tumeigana ee[emoji3][emoji3]
Wanavundika mihogo cjui kinatokea nn mpaka inakua hvo bt nmeona wanakula unasagwa unga unakua na rang flan hv ukipka ugal unatoka mweusi tii and they eat comfortably
Aisee[emoji134]Wanavundika mihogo cjui kinatokea nn mpaka inakua hvo bt nmeona wanakula unasagwa unga unakua na rang flan hv ukipka ugal unatoka mweusi tii and they eat comfortably
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Leo pishi langu mwenyeweAisee[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Huyu mpishi mzuri Sana...nitamtafuta anifundishe kuzipika sambusa Kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
mbwai?