Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sijajua ni vipi maana dkt hakuspecify ila kwa dawa alizonipa naona ni gastricDuh! Kumbe ni wewe mwenyewe pole sana. Ni peptic au gastric?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Pole mwaya.Uji wa mgonjwa[emoji3526]View attachment 1462259
We Rukia weeee!!
Pole mrembo..Sijajua ni vipi maana dkt hakuspecify ila kwa dawa alizonipa naona ni gastric
Akhsante kaka mzuri[emoji3526][emoji120]Pole mrembo..
Akhsante dearPole mwaya.
Zinalika kweli????Mchemsho mkavu wa bamia zinaniangaliaView attachment 1462699
Pole sanaSijajua ni vipi maana dkt hakuspecify ila kwa dawa alizonipa naona ni gastric
Akhsante dear[emoji3526][emoji3526]Pole sana
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Nakula hivyohivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zinalika kweli????
Mambo ya Tanga hayo.View attachment 1461093
Jihogo na chuzi la chukuchuku la jodari
Umekosa uhondo.
Mbinu ninayoijua mimi ni ya vidonge tu,sijui nyingine..Akhsante kaka mzuri[emoji3526][emoji120]
Nipe mbinu ya kuongeza hamu ya kula
Vidonge gani?Mbinu ninayoijua mimi ni ya vidonge tu,sijui nyingine..
Ni watamu Sana hao samaki?Umekosa uhondo.
Megestrol,metaclopramide n.k..Vidonge gani?
Njia za asili zimenishinda kabisa..na hivi dkt ananiambia nisifanye mchezo kwenye kula.Megestrol,metaclopramide n.k..
Hizi dawa nyingi zinatumiwa na wanaotaka kujenga miili maana zinasifa ya kumfanya mtu awe na appetite na kula zaidi..sio nzuri sana maana nyingi zinatengenezwa kutoka kwenye mfanano wa progesterone na testosterone(sex hormones)
Jaribu kutafuta njia za asili
Binafsi naelewa ni magumu gani unayopitia kutokana na ulcers, kwani nilishawahi kusumbuliwa na peptic ulcers wayback 2004/5 yaani maumivu niliyokuwa nayapata ni wakubwa mno ndio maana nikisikia mwengine anasumbuliwa na ulcers I got the feelings.[emoji25][emoji25][emoji25]Akhsante dear[emoji3526][emoji3526]
Najihisi kupona jinsi mnavyonijali