Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20200529_175742.jpg
20200529_175814.jpg
20200529_175848.jpg
20200529_175622.jpg
20200529_175706.jpg
 
Vidonge gani?
Megestrol,metaclopramide n.k..

Hizi dawa nyingi zinatumiwa na wanaotaka kujenga miili maana zinasifa ya kumfanya mtu awe na appetite na kula zaidi..sio nzuri sana maana nyingi zinatengenezwa kutoka kwenye mfanano wa progesterone na testosterone(sex hormones)

Jaribu kutafuta njia za asili
 
Njia za asili zimenishinda kabisa..na hivi dkt ananiambia nisifanye mchezo kwenye kula.
Nitazitumia hata kidogo tu ili nile Sana nipone hivi vidonda vya tumbo.
 
Akhsante dear[emoji3526][emoji3526]
Najihisi kupona jinsi mnavyonijali
Binafsi naelewa ni magumu gani unayopitia kutokana na ulcers, kwani nilishawahi kusumbuliwa na peptic ulcers wayback 2004/5 yaani maumivu niliyokuwa nayapata ni wakubwa mno ndio maana nikisikia mwengine anasumbuliwa na ulcers I got the feelings.[emoji25][emoji25][emoji25]
 
Back
Top Bottom