Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hizo ndizo mboga zangu pendwa..Hahaha! Unakula nyanaya chungu wewe? Na mlenda
Aisee! Badi kati ya watoto wa kike 10 wewe ni mmoja unaependa chakula cha namna hiyoHizo ndizo mboga zangu pendwa..
Nyanya chungu hata mtu angenilisha kila siku nakula..
Hosp walivyoniambia Nile bamia kwa wingi nilifurahi maana napenda mlenda Mimi jamani [emoji7]
Mie nimepata bahati ya kuishi Kijijini nikiwa mdogo.Nyumbani Mimi tu nilikuwa nakula mlenda,tena ule mlenda pori.Aisee! Badi kati ya watoto wa kike 10 wewe ni mmoja unaependa chakula cha namna hiyo
Kongole kwako!
Vizuri mno!Ni watamu Sana hao samaki?
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Natamani siku moja niwaonje[emoji39]Vizuri mno!
Lakini pweza si samaki.
Na chai ya maziwa yenye tangawizi kali na kahawa kidogoVinatia hamu
Jr[emoji769]
Mkuu hapo ni wali na nini?Heri ya mwezi mpya wandugu View attachment 1465517
Nyama ya kuku, imerostiwaMkuu hapo ni wali na nini?
Wow.! Nikasema mbona naona vipande vya skonsi[emoji23]Nyama ya kuku, imerostiwa
Hahaha! Kwa haraka haraka unaweza hisi hivyoWow.! Nikasema mbona naona vipande vya skonsi[emoji23]
[emoji16]...Halafu Leo watu hawali jamani, Nimekuja kutafuta apetiteHahaha! Kwa haraka haraka unaweza hisi hivyo
Subiri natupiamo muda si mrefu dona la nguvu[emoji16]...Halafu Leo watu hawali jamani, Nimekuja kutafuta apetite
Hii kitu ukiiangalia ipo kama yabaridi ila jiloge upige tonge utupie mdomoni bila kupuliza uoneHii inaitwa mtoto atumwi dukani
#NdondolawikiendiView attachment 1464773
Hahaha! Kama ulijua na pilipili ilikuwepo ukicheki pembeni jamaa aliweka na harage la motoHii kitu ukiiangalia ipo kama yabaridi ila jiloge upige tonge utupie mdomoni bila kupuliza uone
kama utaweza ongea Haya mavyakula ya kula mande huwa ni yamotoo au mboga pilipili hiyooo