Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Chombo kibayaaaa
IMG_20200603_125539_937.jpg


Jr[emoji769]
 
Hii kitu ukiiangalia ipo kama yabaridi ila jiloge upige tonge utupie mdomoni bila kupuliza uone

kama utaweza ongea Haya mavyakula ya kula mande huwa ni yamotoo au mboga pilipili hiyooo
Hahaha! Kama ulijua na pilipili ilikuwepo ukicheki pembeni jamaa aliweka na harage la moto
 
Back
Top Bottom