Haaahh nakubali mkuu umetishaNaanza na hiki kiporoView attachment 1485722
Najitahidi niwe muumini wa simpo food inapofika Usiku,
Hii ndiyo mbuzi yako ya siku hizi?
Umesahau kuntag mkuu
Mbona hujantag shangaz? [emoji23][emoji23] Na nlitoa oda mtu akitambaa na wali beans anstue fasta [emoji1787][emoji1787]
[emoji23]Umesahau kuntag mkuu
Hv mkuu kwa wk unakula nyama mara ngap [emoji23][emoji23][emoji23]Kama kawa View attachment 1486010
Kwahyo kwa wk mara 7 sioMara 1 kwa siku mkuu
Mbona hujantag shangaz? [emoji23][emoji23] Na nlitoa oda mtu akitambaa na wali beans anstue fasta [emoji1787][emoji1787]