Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kumekucha sasa jaman hebu tupen ratiba ya menu ya leo, asbh mchana na jion ili tusicheze mbali na huu uzi. Ila km kuna mtu atakula wali beans, plz naomba anitag! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanza na hiki kiporo
IMG_20200620_124421_111.jpg
 
Back
Top Bottom